Description
Urojo Mix ni chakula mashuhuri sana nchini Tanzania hususan visiwani Zanzibar. Urojo ni mchanganyiko wa vitu mbali mbali vikiwemo kachori, bajia, mbatata, chipsi za muhogo, chatni, ukwaju, machapuzi pamoja na mchuzi ambao ndio unaukamilisha kuwa urojo kamili (full mix)