$3.00
Mikate ya Ufuta ni aina ya kipekee inayotengenezwa kwa ufundi mkubwa. Mikate hii ni milaini na inaweza kukaa kwenye fridge hata wiki moja. Ukitaka kuiweka kwa muda mrefu, ni bora kuiweka kwenye freezer