Abu Ubaydah Islamic Center

Mishkaki ya Nyama ya Ng’ombe

$3.50

Category:

Description

Hii ni mishkaki adheem kutokana na aina ya viungo vinavyotiwa na jinsi inavyochomwa. Ni mishkaki yenye asili ya Yemen.

Mishkaki hii inaliwa pamoja na mchanganyiko wa witu vyengine kwa pamoja vinaitwa urojo (mix), pia inaliwa na mbogamboga pamoja na pilipili na ukwaju kukupa ladha pekee mdomoni.